Mikate
ni kitafunwa ambacho kinatumika katika kifungua kinywa asubuhi ambacho unaweza
kunywea na chai, soda na juice.
MALIGHAFI
1.
Unga
wa ngano 1/4kg
2.
Mafuta
chupa 1 ya soda yapashwe moto
3.
Amira
kijiko 1 cha chakula
4.
Baking
powder kijiko 1 cha chai
MALIGHAFI
1.
Unga
wa 1 kilo moja
2.
Chumvi
kijiko kimoja cha chakula
3.
Hamira
kijiko kimoja cha chakula
4.
Mafuta
chupa ya soda
5.
Sukari
vijiko viwili kama utapenda
6.
Maji
nusu lita
7.
Baking
powder kijiko 1 kikubwa.
JINSI YA
KUTENGEZA
Chekecha
unga kisha changanya na backing powder kisha weka chumvi changanya amira pamoja
na mafuta yaliyochemsha na anza kukoroga huku ukitia maji kidogokidogo mpaka
vichanganyike pia unaweza ukaweka sukari kama utapenda.
JINSI YA KUOKA
MIKATE
Andaa
chombo cha kuokea mkate (sufuria) andaa kiko anzana kupakaza blueband ndani ya
sufuria yako kutumia karatasi nyeupe kisha weka mchanganyiko wako kwenye
sufuria na uweke jikoni hakikisha moto usiwe mkali weka moto usiwe mkali weka
moto iwe na mfuniko kama unapalilia ndani ya dak 10-15 mkate wako utakuwa
tayali.
KIMEANDIKWA NA
OMBENI HAULE
ELIMU NA USHAURI
WASILIANA NASI KWA NAMBA
0659144660/0758069046/ombenihaule@gmail.com
KITABU CHA
MAPISHI MBALIMBALI KINAPATIKANA
No comments:
Post a Comment