Machapisho

vitabu vya masomo yote vinapatikana

VITABU VYA MASOMO YA UFUGAJI, KILIMO CHA MBOGA NA BUSTANI, USINDIKAJI WA MBOGA NA MATUNDA ,MAPISHI, ELIMU YA VICOBA ,UJASIRIAMALI NA STADI ZA BIASHARA , STADI ZA MAISHA NK VYOTE VINAPATIKANA SOFT NA HARD COPY

Tunawafikia popote mulipo kwa elimu ya uhamasishaji,kuwaunganisha, uanzishaji na uboreshaji wa vikundi vya maendeleo na vicoba pia tunatoa elimu ya ujasiriamali na stadi za biashara ,stadi za maisha ,utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani, mapishi mbalimbali, ufugaji bora na rahisi, kilimo bora na rahisi cha mboga na matunda (bustani), fursa za biashara tanzania,,,,, JIFUNZE JIAJIRI UMASKINI HAUKUBALIKI

ujasiriamali na stadi za biashara ,miradi ya uzalishaji mari, mpango biashara

Tunawafikia kwa elimu ya ujasiriamali na stadi za biashara TOLEO LA KWANZA