Posts

21.WAZO LA BIASHARA: UFUGAJI BORA NA RAHISI WA NGURUWE KIBIASHARA

Image
Ufugaji wa nguruwe ni shughuli ya kilimo inayohusiana na kufuga nguruwe kwalengo la kupata nyama, kipato na bidhaa nyingine nk B.FAIDA YA UFUGAJI HUU 1.Haiitaji elimu KUBWA  2.Haiitaji Mtaji mkubwa sana kwenye kuanza 3.Unaweza kujiajiri bila utegenezi 4.Unaweza kuwaajiri wengine unapoona kunauhitaji  5.Wazo hili unaweza kuwafundisha wengine kwa ADA na kujiingizia kipato kizuri  chenye kukizi mahitaji yako yakutosha zaidi 6.Kipatochake nikilasiku hakina msimu 7.Unaweza kuanza na nguruwe mmoja tu 8.Unaweza kuuza nyama safi iliyotenezwa 10.Unaweza kununua kununua na kuuza nguruwe 11.Unaweza kuuza Watoto wa nguruwe 12.Unaweza kupandisha nguruwe kwa MALIPO 13.Unaweza kuifanyia 14.NGURUWE wanakuwa kwa haraka miezi 2-3 unaweza kumuuza 15.Biashara ya nguruwe unaweza kuifanyia nyumbani sio  na wateja wakakufuata uwaudimie 16.Kupata tenda nzuri ukiwa mwaminifu 17.Nguruwe uzaana kwa wingi watoto 8-12 18.Mradi huu unakupatia heshima na jina katika inayo kuzunguka 19....

7.WAZO LA BIASHARA: DAY-CARE ( MALEZI YA WATOTO)

Image
Wazo hili ni wazo zuri sana la biashara, hasa kwa maeneo ya mijini ambako wazazi wengi wanakuwa  makazini, kutokakana na ubize WA wazazi Unaweza ukapata wazo la kuwasaidia kelea watotowao ikawa furasa kwako nakujiingizia KIPATO. Maana..Wazo la Biashara: DAY CARE (Kituo cha Malezi ya Watoto) 1.DAYCARE NI NINI? Ni biashara ya kutunza, kulea na kufundisha watoto wadogo (miezi 6 – miaka 5) wakati wazazi wao wako kazini. 2.KWANINI DAYCARE NO BIASHARA NZURI? Mahitaji yake ni makubwa na ya kudumu Wazazi wako tayari kulipa kila mwezi Unaweza kuanza kwa mtaji mdogo Inakua haraka ukitoa huduma bora 3.AINA YA DAYCARE -Day Care ya nyumbani – Hii Unaweza ukaanzia nyumbani kwako -Day Care ya kawaida – Hii watoto hukaa mchana tu -Day Care + elimu ya awali (pre-school) Hii Malezi ya Watoto na elimu ya chekechea -Day Care ya saa nyingi (shift) – kwa wazazi wa zamu... TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO KWA ELIMU YA UJASIRIAMALI STADI BORA ZA BIASHARA FURSA MBALIMBALI NA UWEKEZAJI ebusol.blogspot.c...

20.WAZO LA BIASHARA: UFUNDI CHUMA (WELDING)

Image
HII ni taaluma (KAZI) ya kutengeneza,kuunganisha, kurekebisha au kunoa vyuma kwakutumia zana mbalimbali kamavile mashine ya kuchomelea (welding mashine), grender, Msumeno ,,,kwalengo la kutengeneza,vitanda,milango,madirisha,makabati,fensi nk B.FAIDA YA UFUNDI HUU 1.Haiitaji elimu KUBWA  2.Haiitaji MTAJI MKUBWA 3.Unaweza kujiajiri 4.Unaweza kuajiri wengine 5.Unaweza kufundisha JAMII na kujiingizia KIPATO chakutosha zaidi 6.Kipatochake nikilasiku 7.Unaweza KUANZA na mashine Moja tu  8.Unaweza kuifanyia NYUMBANI na WATEJA wakakufuata uwaudimie 10.Kupata tenda nzuri ukiwa mwaminifu 11.Heshima na JINA kwa JAMII inayo kuzunguka 12.Kazi hii ufanywa kwa jinsia zote me na ke 13.Hakuna msimu maalumu wakufanya kazi 15.Uhuru wakufanya KAZI muda wowote 16.Ubunifu mzuri huongeza WATEJA wengi 17.Maamuzi yote yanafanywa na fundi 18.Kuanza mjasiriamali MDOGO, WAKATI mpaka MKUBWA 1.TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO 2.JIFUNZE JIAJIRI UMASIKINI HAUKUBALIKI 3.VITABU VYETU VINAPATIKANA SOFT NA H...

19.WAZO LA BIASHARA: UFUNDI WAKUSHONA NGUO

Image
Ni ujuzi, utaalamu wa kubuni kukata kw vipimo sahihi na kushona nguo kwakutumia vitambaa MBALIMBALI ili kutengeneza mavazi mbalimbali kamavile magauni, mashati,suruali,sketi,share,suti, nguo za harusi NK.. Ufundi huu utumia sindano ya mkono au mashine kutegemeana na nguo au kitambaa. B.FAIDA YA UFUNDI KUSHONA NGUO 1.Haiitaji elimu KUBWA  2.Haiitaji MTAJI MKUBWA 3.Unaweza kujiajiri 4.Unaweza kuajiri wengine 5.Unaweza kufundisha JAMII na kijiinizia KIPATO 6.Kipatochake nikilasiku 7.Unaweza KUANZA na mashine Moja tu 8.Unaweza kuifanyia NYUMBA WATEJA wakakufuata 10.Kupata tenda nzuri ukiwa mwaminifu 11.Heshima na JINA kwa JAMII inayo kuzunguka 12.Kazi hii ufanywa kwa jinsia zote 13.Hakuna msimu maalumu 15.Uhuru wakufanya KAZI 16.Ubunifu mziri huongeza WATEJA wengi 17.Maamuzi yote nayafanya fundi 18.Nk NK NK.... #TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO# ebusol.blogspot.com 0760-240-456/0780-750-77

18.WAZO LA BIASHARA: UFUNDI SELEMALA (FUNDI MBAO)

Image
A.UFAFANUZI KWAUFUPI Huu ni utaalamu UNAWEZA kuupata kwa kusomea darasani au kujifunza kwamtu mwenye fani hiyo, utjuzi huu unahusisha kutengeneza,kurekebisha na kusanifu vitu vya MBAO pia UNAWEZA ukaunganisha, chuma nk.  KAZI hii inahusisha kutengeneza milango,madirisha ya chuma na MBAO pia mageti B.FAIDA ZAKE 1.Chanzo kizuri Cha MAPATO 2.Ujuzi wake wakudumu 3.Kustaafu kwake unaamua wewe 4.Kipato chake Cha uhakuka na endelevu 6.Unaweza kuajiriwa 7.Unaweza kujiajiri 8.Unaweza kuajiri wengine 9.Uhitaji wake ni mkubwa 10.Mahitaji yake yanapatikana mahali POPOTE 11.Mtaji wake sio mkubwa 12.Hauitaji elimu KUBWA 13.Ujuzi huu UNAWEZA kujifunza kwa muda mchache 14.Unaweza kuwa mjasiriamali mkubwa 15.Inakujengea heshima kwa JAMII 16.Kupata WATEJA wakudumu 17. KUpunguza ukosefu wa ajira mtaani 18.Kumudu familia...... *TUNAWAFIKIA POPOTE PALE MLIPO* *VITABU VYETU VINAPATIKANA SOFT NA HARD COPY* ebusol.blogspot.com 0760-240-456/0780-750-772

17.WAZO LA BIASHARA: SALON YA KIUME

Image
A:UTANGULIZI Biashara ya saluni ya kike ina faida nyingi sana, hasa kwa mazingira ya Tanzania mjini na vijijini B.FAIDA ZAKE 1.Soko lake ni kubwa na la uhakika hasa mjini. 2.Mtaji wa kuanzia ni mdogo 3.Unaweza kuanza hata kwa: Viti 1–2 3.Faida yake hupatikana kila siku 4.Huduma zote hulipwa papo hapo 5.Hakuna kudaiwa sana Mzunguko wa fedha ni wa haraka 6.Inaweza kuendeshwa hata nyumbani 7.Inatoa ajira KUJIAJIRI na kuajiri wengine 8.Rahisi kupanua 9.Baadaye unaweza kuongeza mafunzo 10.Biashara ya muda mrefu 11.Hujenga jina na wateja wa kudumu. TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO ebusol.blogspot.com 0760-240-456/0780-750-772 Code:lipa kwa Aitel money 140054609

16.WAZO LA BIASHARA: SALON YA KIKE

Image
A:UTANGULIZI Biashara ya saluni ya kike ina faida nyingi sana, hasa kwa mazingira ya Tanzania mjini na vijijini B.FAIDA ZAKE 1.Soko lake ni kubwa na la uhakika hasa mjini. 2.Mtaji wa kuanzia ni mdogo 3.Unaweza kuanza hata kwa: Viti 1–2 3.Faida yake hupatikana kila siku 4.Huduma zote hulipwa papo hapo 5.Hakuna kudaiwa sana Mzunguko wa fedha ni wa haraka 6.Inaweza kuendeshwa hata nyumbani 7.Inatoa ajira KUJIAJIRI na kuajiri wengine 8.Rahisi kupanua 9.Baadaye unaweza kuongeza mafunzo 10.Biashara ya muda mrefu 11.Hujenga jina na wateja wa kudumu. TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO ebusol.blogspot.com 0760-240-456/0780-750-772 Code:lipa kwa Aitel money 140054609