January 01, 2026

16.WAZO LA BIASHARA:MAMA NTILIE

14.WAZO LA BIASHARA: KUUZA MGAHAWA (MAMA NTILIE)
Biashara ya Mama magahawa maharufu kama mama ntilie

Hii ni moja ya biashara maarufu sana Africa mashariki na kati hasa kwenye maeneo ya mijini,mashureni,VYUOni viwandani, masokoni, stendi, maeneo ya ujenzi, na hata pembezoni mwa barabara.

BIASHARA Hii ni biashara inayohusiana na kupika na kuuza chakula kwa bei nafuu, inayolenga watu wa kipato cha kati na cha chini wakiwemo wafanyakazi,machika, madereva, wanafunzi, mafundi, na wakazi wa mtaa husika

Pamoja na kuwa biashara isiyo rasmi kwa baadhi ya maeneo, biashara ya Mama Ntilie inaleta ajira, mapato ya haraka, na inaweza kukua hadi kuwa mgahawa NK.....
TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO KWA ELIMU YA UJASIRIAMALI, STADI BORA ZA BIASHARA, FURSA NA UWEKEZAJI,
ebuaol.blogspt.com
0760-240-456/0780-750-772

No comments:

Post a Comment