Huu ni utaalamu UNAWEZA kuupata kwa kusomea darasani au kujifunza kwamtu mwenye fani hiyo, utjuzi huu unahusisha kutengeneza,kurekebisha na kusanifu vitu vya MBAO pia UNAWEZA ukaunganisha, chuma nk.
KAZI hii inahusisha kutengeneza milango,madirisha ya chuma na MBAO pia mageti
B.FAIDA ZAKE
1.Chanzo kizuri Cha MAPATO
2.Ujuzi wake wakudumu
3.Kustaafu kwake unaamua wewe
4.Kipato chake Cha uhakuka na endelevu
6.Unaweza kuajiriwa
7.Unaweza kujiajiri
8.Unaweza kuajiri wengine
9.Uhitaji wake ni mkubwa
10.Mahitaji yake yanapatikana mahali POPOTE
11.Mtaji wake sio mkubwa
12.Hauitaji elimu KUBWA
13.Ujuzi huu UNAWEZA kujifunza kwa muda mchache
14.Unaweza kuwa mjasiriamali mkubwa
15.Inakujengea heshima kwa JAMII
16.Kupata WATEJA wakudumu
17. KUpunguza ukosefu wa ajira mtaani
18.Kumudu familia......
*TUNAWAFIKIA POPOTE PALE MLIPO*
*VITABU VYETU VINAPATIKANA SOFT NA HARD COPY*
ebusol.blogspot.com
0760-240-456/0780-750-772
No comments:
Post a Comment