January 05, 2026

20.WAZO LA BIASHARA: UFUNDI CHUMA (WELDING)

HII ni taaluma (KAZI) ya kutengeneza,kuunganisha, kurekebisha au kunoa vyuma kwakutumia zana mbalimbali kamavile mashine ya kuchomelea (welding mashine), grender, Msumeno ,,,kwalengo la kutengeneza,vitanda,milango,madirisha,makabati,fensi nk

B.FAIDA YA UFUNDI HUU
1.Haiitaji elimu KUBWA 
2.Haiitaji MTAJI MKUBWA
3.Unaweza kujiajiri
4.Unaweza kuajiri wengine
5.Unaweza kufundisha JAMII na kujiingizia KIPATO chakutosha zaidi
6.Kipatochake nikilasiku
7.Unaweza KUANZA na mashine Moja tu 
8.Unaweza kuifanyia NYUMBANI na WATEJA wakakufuata uwaudimie
10.Kupata tenda nzuri ukiwa mwaminifu
11.Heshima na JINA kwa JAMII inayo kuzunguka
12.Kazi hii ufanywa kwa jinsia zote me na ke
13.Hakuna msimu maalumu wakufanya kazi
15.Uhuru wakufanya KAZI muda wowote
16.Ubunifu mzuri huongeza WATEJA wengi
17.Maamuzi yote yanafanywa na fundi
18.Kuanza mjasiriamali MDOGO, WAKATI mpaka MKUBWA

1.TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO
2.JIFUNZE JIAJIRI UMASIKINI HAUKUBALIKI
3.VITABU VYETU VINAPATIKANA SOFT NA HARD COPY

ebusol.blogspot.com
0760-240-456/0780-750-772/0659-144-660

No comments:

Post a Comment