Ni ujuzi, utaalamu wa kubuni kukata kw vipimo sahihi na kushona nguo kwakutumia vitambaa MBALIMBALI ili kutengeneza mavazi mbalimbali kamavile magauni, mashati,suruali,sketi,share,suti, nguo za harusi NK..
Ufundi huu utumia sindano ya mkono au mashine kutegemeana na nguo au kitambaa.
B.FAIDA YA UFUNDI KUSHONA NGUO
1.Haiitaji elimu KUBWA
2.Haiitaji MTAJI MKUBWA
3.Unaweza kujiajiri
4.Unaweza kuajiri wengine
5.Unaweza kufundisha JAMII na kijiinizia KIPATO
6.Kipatochake nikilasiku
7.Unaweza KUANZA na mashine Moja tu
8.Unaweza kuifanyia NYUMBA WATEJA wakakufuata
10.Kupata tenda nzuri ukiwa mwaminifu
11.Heshima na JINA kwa JAMII inayo kuzunguka
12.Kazi hii ufanywa kwa jinsia zote
13.Hakuna msimu maalumu
15.Uhuru wakufanya KAZI
16.Ubunifu mziri huongeza WATEJA wengi
17.Maamuzi yote nayafanya fundi
18.Nk NK NK....
#TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO#
ebusol.blogspot.com
0760-240-456/0780-750-77
No comments:
Post a Comment