January 07, 2026

21.WAZO LA BIASHARA: UFUGAJI BORA NA RAHISI WA NGURUWE KIBIASHARA

Ufugaji wa nguruwe ni shughuli ya kilimo inayohusiana na kufuga nguruwe kwalengo la kupata nyama, kipato na bidhaa nyingine nk

B.FAIDA YA UFUGAJI HUU
1.Haiitaji elimu KUBWA 
2.Haiitaji Mtaji mkubwa sana kwenye kuanza
3.Unaweza kujiajiri bila utegenezi
4.Unaweza kuwaajiri wengine unapoona kunauhitaji 
5.Wazo hili unaweza kuwafundisha wengine kwa ADA na kujiingizia kipato kizuri  chenye kukizi mahitaji yako yakutosha zaidi
6.Kipatochake nikilasiku hakina msimu
7.Unaweza kuanza na nguruwe mmoja tu
8.Unaweza kuuza nyama safi iliyotenezwa
10.Unaweza kununua kununua na kuuza nguruwe
11.Unaweza kuuza Watoto wa nguruwe
12.Unaweza kupandisha nguruwe kwa MALIPO
13.Unaweza kuifanyia
14.NGURUWE wanakuwa kwa haraka miezi 2-3 unaweza kumuuza
15.Biashara ya nguruwe unaweza kuifanyia nyumbani sio  na wateja wakakufuata uwaudimie
16.Kupata tenda nzuri ukiwa mwaminifu
17.Nguruwe uzaana kwa wingi watoto 8-12
18.Mradi huu unakupatia heshima na jina katika inayo kuzunguka
19.Soko la nguruwe ni KUBWA sana hapa Tanzania mpaka Duniani 
20.Kazi hii ufanywa kwa jinsia zote me na ke
21.Uhuru wakufanya KAZI muda wowote
22.Ubunifu wako mzuri hukuongezea wateja wengi
23.Maamuzi yote yanafanywa na wewe
24.Kuanza mjasiriamali MDOGO, WAKATI mpaka MKUBWA
:INAWEZEKANA ANZA SASA

1.TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO KWA ELIMU NA MAFUNZO YA FURSA MBALIMBALI ZA BIASHARA ILI UWEZE:
a).KUELIMIKA 
b).KUJIFUNZA
3).KUJIAJIRI
4.KAJIRI WENGINE

2.ebusol.blogspot.com
0760-240-456
0780-750-772
0659-144-660

No comments:

Post a Comment