July 30, 2018

Jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche

Malighafi 

1. Caustic soda vijiko 27 vya chakula 

2. Maji chupa 239 soda 

3. Mafuta lita 2 ( mafuta ya nazi,mawese,nyonyo au mbosa) 

4. Sodium cilcate 1/

2 kg 

5. Rangi ya sabuni kijiko 1 cha chai 

6. Industrial salt vijiko 3 vya chakula 

7. Harufu kijiko 1 cha chai 

8. Hydrogen peroxide vijiko 4 vya chakula (kwa ajiri ya kuondoa rangi ya mafutu. 

Hatua 

1. loweka caustic kwenye maji kisha korog a kwa dk 5 na uache kwa kati ya siku 1 hadi 7 

2. siku ya kutengeneza sabuni injika mafuta jikoni na yakichemka tia hydrogen kidogokidogo huku 

ukiyaangalia mafuta yako kwa kutumia karatasi nyeupe kama rangi imetoka yote. 

3. Baada ya hapo chukua maji ya caustiki soda,tia sodium,chumvi,kama unapenda rangi weka na 

kama unapenda harufu weka huku nukikoroga kwa nguvu na kwa spidi hadi dk 5. 

4. Andaa ndoo ya plastiki na utie mafuta uliyoyaandaa na hakikisha yamepoa.anza kuyakoroga 

kuelekea upande mmoja huku ukimimina ule mchanganyiko wako wa causiki kwenye mafuta kwa 

mchuruziko kidogokidogo huku ukikoroga kwa nguvu zako zote hadi utapomaliza na baada ya dk 

10 hadi 15 hivi mkorogowako utakuwa tayari. 

5. Kamimine kwenye umbo na usubili sabuniikauke na baada itakuwa tayari kwa matumizi.

9 comments:

  1. Mchanganyiko huu unatoa sabuni kiasi gani aka Miche mingapi?

    ReplyDelete
  2. Mchanganyiko huu unatoa sabuni kiasi gani aka Miche mingapi?

    ReplyDelete
  3. Naomba namba yako mwalimu send sms0629667675

    ReplyDelete
  4. vip huo mchanganyo ni idadi ya miche mingapi?

    ReplyDelete
  5. Tunaomba namba zenu

    ReplyDelete
  6. Naomb namb ya mwalim nshatengeneza sabuni said ya mara mbili haijaganda vzr

    ReplyDelete