ebusol..Ni taasisi binafsi iliyosajiriwa kisheria kwa lengo la kuifikia jamii isiyofikiwa mjini na
vijijini kuhamasisha, kuwaunganisha na kuwajengea uwezo kwa kutoa elimu na mafunzo ya
UJASIRIAMALI NA STADI BORA ZA BIASHARA.
Mafunzo haya yanalenga kutoa ujuzi na taaluma katika maeneo yafuatayo:
1. STADI ZA MWEZESHAJI NA UWEZESHAJI
2. STADI ZA MPANGO WA MAISHA KWA VIJANA WENYE MALENGO
3. UONGOZI NA UTAWALA BORA
4. UJASIRIAMALI NA STADI BORA ZA BIASHARA
5. HATUA ZA USAJIRI WA BIASHARA
6. FURSA MBALIMBALI ZA BIASHARA TANZANIA
7. MAPISHI MBALIMBALI NA MAPAMBO KIBIASHARA
8. UFUGAJI BORA NA RAHISI KISASA KIBIASHARA
9. KILIMO BORA NA RAHISI CHA MBOGAMBOGA, MATUNDA NA MAZAO YA VIUNGO KIBIASHARA
10. UTAYARISHAJI,USINDIKAJI, UFUNGASHAJI NA UHIFADHI WA MBOGAMBOGA, MATUNDA NA MAZAO YA VIUNGO KIBIASHARA
11. UHAMASISHAJI, UUNDAJI NA UBORESHAJI WA VIKUNDI VYA MAENDELEO NA VICOBA
No comments:
Post a Comment