Malighafi
1. Caustic soda vijiko 27 vya chakula
2. Maji chupa 239 soda
3. Mafuta lita 2 ( mafuta ya nazi,mawese,nyonyo au mbosa)
4. Sodium cilcate 1/
2 kg
5. Rangi ya sabuni kijiko 1 cha chai
6. Industrial salt vijiko 3 vya chakula
7. Harufu kijiko 1 cha chai
8. Hydrogen peroxide vijiko 4 vya chakula (kwa ajiri ya kuondoa rangi ya mafutu.
Hatua
1. loweka caustic kwenye maji kisha korog a kwa dk 5 na uache kwa kati ya siku 1 hadi 7
2. siku ya kutengeneza sabuni injika mafuta jikoni na yakichemka tia hydrogen kidogokidogo huku
ukiyaangalia mafuta yako kwa kutumia karatasi nyeupe kama rangi imetoka yote.
3. Baada ya hapo chukua maji ya caustiki soda,tia sodium,chumvi,kama unapenda rangi weka na
kama unapenda harufu weka huku nukikoroga kwa nguvu na kwa spidi hadi dk 5.
4. Andaa ndoo ya plastiki na utie mafuta uliyoyaandaa na hakikisha yamepoa.anza kuyakoroga
kuelekea upande mmoja huku ukimimina ule mchanganyiko wako wa causiki kwenye mafuta kwa
mchuruziko kidogokidogo huku ukikoroga kwa nguvu zako zote hadi utapomaliza na baada ya dk
10 hadi 15 hivi mkorogowako utakuwa tayari.
5. Kamimine kwenye umbo na usubili sabuniikauke na baada itakuwa tayari kwa matumizi.
nashukur kwa elimu
JibuFutaMchanganyiko huu unatoa sabuni kiasi gani aka Miche mingapi?
JibuFuta50
Futa50
FutaMchanganyiko huu unatoa sabuni kiasi gani aka Miche mingapi?
JibuFutaNaomba namba yako mwalimu send sms0629667675
JibuFutavip huo mchanganyo ni idadi ya miche mingapi?
JibuFutaTunaomba namba zenu
JibuFutaNaomb namb ya mwalim nshatengeneza sabuni said ya mara mbili haijaganda vzr
JibuFuta