January 02, 2026

17.WAZO LA BIASHARA: SALON YA KIUME

A:UTANGULIZI
Biashara ya saluni ya kike ina faida nyingi sana, hasa kwa mazingira ya Tanzania mjini na vijijini

B.FAIDA ZAKE
1.Soko lake ni kubwa na la uhakika hasa mjini.
2.Mtaji wa kuanzia ni mdogo
3.Unaweza kuanza hata kwa:
Viti 1–2
3.Faida yake hupatikana kila siku
4.Huduma zote hulipwa papo hapo
5.Hakuna kudaiwa sana
Mzunguko wa fedha ni wa haraka
6.Inaweza kuendeshwa hata nyumbani
7.Inatoa ajira KUJIAJIRI na kuajiri wengine
8.Rahisi kupanua
9.Baadaye unaweza kuongeza mafunzo
10.Biashara ya muda mrefu
11.Hujenga jina na wateja wa kudumu.

TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO
ebusol.blogspot.com
0760-240-456/0780-750-772
Code:lipa kwa Aitel money 140054609

No comments:

Post a Comment