TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO KWA ELIMU NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI NA STADI BORA ZA BIASHARA KWA NADHARIA NA VITENDO
September 12, 2017
Tunawafikia popote mulipo kwa elimu ya uhamasishaji,kuwaunganisha, uanzishaji na uboreshaji wa vikundi vya maendeleo na vicoba pia tunatoa elimu ya ujasiriamali na stadi za biashara ,stadi za maisha ,utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani, mapishi mbalimbali, ufugaji bora na rahisi, kilimo bora na rahisi cha mboga na matunda (bustani), fursa za biashara tanzania,,,,, JIFUNZE JIAJIRI UMASKINI HAUKUBALIKI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Malighafi 1. Caustic soda vijiko 27 vya chakula 2. Maji chupa 239 soda 3. Mafuta lita 2 ( mafuta ya nazi,mawese,nyonyo au mbosa) 4. Sodi...
-
ELIMU YA UJASIRIAMALI BIASHARA .Ujasiriamali katika sekta ya biashara (Entrepreneurship) a) Ujasiriamali ni uwezo wa k...
-
Mboga ni mmea au sehemu yoyote ya mmea inayoweza kuliwa na binadamu ambayo haina sukari kama matunda. Mboga huweza kuliwa zikiwa zimepikwa ...







No comments:
Post a Comment