EBUSO Ni taasisi binafsi iliyosajiliwa kutoa
mafunzo ,elimu na ushauri katika masuala ya maendeleo ya jamii .Taasisi
inawatalamu mbalimbali wenye uzoefu katika uwezeshaji ,lengo letu kuifikia
jamii isiyofikiwa mjini na vijijini na kuwajegea uwezo wakutoa elimu mbalimbali
ya maendeleo kamavile,,,
1.JINSI YA KUANZISHA
BIASHARA ENDELEVU.
(a) Ujasiriamali ni nini.
(b) Mjasiriamari ni nani.
(c) Aina za wajasiria mali.
(e) Faida zakuwa mjasiriamali.
(f) Changa moto zinazomkabili mjasiriamali.
(g) Namna ya kukabiliana na changamoto hizo.
(h) Kuibuka kwa mjasiriamali.
(i) Ujasiriamali ndani ta ajira
(j) Ushauli wa biashara rafiki na mazingira,
MIRADI YA UZALISHAJI MALI.
(a)Maana ya miradiradi
(b) Sifa za mradi
(c) Kutathiminiwazo la mradi
(e) Aina za miradi.
(f) Mradi wa biashara.
(g) Mambo muhimu ya kuzingatia unapoingia katika biashara.
(h) Mambo muhimu ya kuepuka katika biashara.
(i) Jinsi ya kufanikiwa katika biashara.
(j) Mfano wa wafanya biashara waliofanikiwa.
MPANGO BIASHARA
(business plan)
(a)
Maana
ya mpango biashara
(b)
Faida
za mpango biashara
(c)
Taarifa
binafsi za mfanyabiashara
(d)
Maelezo
kuhusu aina ya biashara itakayofanyika (huduma au uzalishaji mali)
(e)
Soko
linalokusudiwa
(f)
Taarifa
kuhusu washindani
(g)
Mkakati
wa kuwezesha biasharahiyo ifanikiwe
(h)
Mahitaji
ya fedha (makadirio ya mauzo na gharama)
(i)
Ratiba
ya kazi na idadi ya watumishi.
(j)
Aina
500 za biashara/miradi inayofanywa na Watanzania.
NB KITABU CHA FURSA ZA
BIASHARA KINAPATIKANA
2.UTENGENEZAJI WA BIDHAA MBALIMBA LI
ZA VIWANDANI
(a)
Namna
ya kutumia kemikali husika na kuchanganya madawa
(b)
Vifaa
na mashine za kutengeneza bidhaa za viwandani
(c)
Utengenezaji
wa sabuni za maji
(d)
Sabuni
mche
(e)
Sabuni
za unga
(f)
Sabuni
ya kunawia mikono
(g)
Sabuni
ya kuoshea marumaru
(h)
Kutengeneza
lotion
(i)
Kutengeneza
mafuta ya mgando
(j)
Utengenezaji
wa batiki aina zote
(k)
Kuprint
T-shirt
(l)
Utengenezaji
wa mishumaa
(m) Utengenezaji wa maji ya betri
(n)
Utengenezaji
wa vikapu na kikoba ya asili
(o)
Sabuni
ya kipande ya majivu
(p)
Sabuni
ya kipande ya liwa
(q)
Sabuni
ya kipande ya kuogea
(r)
Sabuni
ya kuondoa madoa
(s)
Chaki.
(t)
Mkaa
wa makaratasi na makapi ya nafaka
NB KITABU CHA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI KINAPATIKANA
3.MAPISHI NA UPAMBAJI WA
KUMBI (DECORATION)
(a)
Aina
za mapishi
(b)
Aina
mbalimbali keki
(c)
Aina
mbalimbali za bites
(d)
Aina
za vifungua kinywa
(e)
Aina
za mboga
(f)
Chilly
na tomato sauce
(g)
Juisi
mbalimbali
(h)
Biscuti
mbalimbali
(i)
Wine
za matunda
(j)
Aina
za viungo.
(k)
Aina
za supu,
(l)
Aina
za lunch,
(m) Aina za dinner
NB
KITABU CHA MAPISHI KINAPATIKANA
4.KILIMO
BORA NA RAHISI CHA MBOGA NA MATUNDA
1.Fulsa za kilimo na mboga naatunda
2.Changamoto na mafanikio ya kilimo cha
mboga na matunda
3.Hali ya hewa husika (mvua,udongo,joto
kuwezesha kustawi kwa zao husika
4.Vifaa vya bustani.
5.Namna ya kuandaa kitalu cha miche ya
mboga na matunda.
6.Aina ya vitalu vya mboga.
7.Aina ya vitalu vya matunda.
8.Umwagiliajki wa vitalu
9. Aina zmbegu (OPU,Hybrid FI) na kiasi
cha mbegu (gm/kg) cha kutosha eneo la eka 1
10. Namna ya upandaji na umwagiliaji wa
vitalu, miche na mbegu shambani.
11. Kuweka kivuli na matandazo.
12.Aina za mbolea naukaji wa mbolea.
13. Wadudu waharibifu,manonjwa kwa njia
ya picha dalili na namna ya kudhibiti wadudu na magonjwa.
14. Vipimo vya dozi za
wadudu,booster,mbolea na dawa za magonjwa.
15.Kubadilisha mazao shambani .
16.Utumiaji wa mboga baada ya kuweka
dawa.
17. Muda wa kupanda mpaka kuvuna.
18.Uandaaji,usindikaji na uhifadhi wa
mboga na matunda baada ya kuvuna.
5. UFUGAJI BIORA NA RAHISI
WA MIFUGO
Add caption |
1.
Changamoto
za ufugaji na namna ya kukabiliana nazo.
2.
Ujenzi
wa banda/nyumba bora ya kufugia
3.
Vifaa
vinavyotumika wakati wea ujenzi wa banda/nyumba ya mifugo.
4.
Ukubwa
wa banda/nyumba.
5.
Vifaa
na vyombo muhimu kwa ajili ya mifugo.
6.
Kuchagua
aina ya mfugo bora wa kufuga.
7.
Aina
za mifugo na kabila zao.
8.
Utengenezaji
wa chakula cha mifugo.
9.
Uchaguzi
wa dume/jogoo bora la mbegu.
10. Namna ya uzalishaji na utotoleshaji.
11. Utunzaji wa mifugo klwa makundi maalumu.
12. Namna ya kudhibiti magonjwa na tiba za
mifugo
13. Uzalishaji na masoko ya mifugo.
14. Utunzaji wa kumbukumbu.
NB KITABU CHA UFUGAJI BORA
NA RAHISI WA MIFUGI KINAPATIKANA
6.USINDIKAJI WA MBOGA NA
MATUNDA.
1.Changamoto za usindikaji na namna ya kuzikabili.
2.Uhifadhi na uandaaji wa matunda ili kuyasindika.
3.Kusindika kupata juisi .
4.Kusindika kupata wine.
5. Kusindika kupata jam.
6.Kusindika kupata achali.
7.Kukausha kupata kaukau kwakutumia(drayer).
8.kusindika kupata kavu kwakutumia(drayer).
9.Kusindika kupata unga.
10.Kufungasha,
11.kuweka lakili.
12.kuweka lebo.
NB
KITABU CHA USINDIKAJI WA MBOA NA MATUNDA KINAPATIKANA
7. ELIMU YA UANZISHAJI NA
UBORESHAJI WA VIKUNDI VYA MAENDELEO NA VICOBA
1.
Aina za mikutano ya vicoba na kazi zake.
2.
Mbinu za kufundishia vicoba 9mwezeshaji)
·
Nini
maana ya vicoba
·
Historia
ya vicoba
·
Utofauti
kati ya vicoba na saccos
·
Wadau
wanaotekeleza mfumo wa vicoba Tanzania.
·
Jinsi
mfumo wa vicoba unavyofanya kazi.
·
Taratibu
za uwekezaji wa fedha.
·
Taratibu
za mikopo na Ulejeshaji.
3.Awamu za kikundi kupitia.
4.Namna ya
kuendesha mikutano.
5.Uendeshaji wa
shughuli za kibenki.
6.Uongozi wa kikundi.
7.Sheria za
kikundi
8.Utunzaji wa
kumbukumbu.
9.Fomu za
mwezeshaji (mratibu) kuchukua taharifa za maendeleo ya kikundi.
10.Hatua za
kusajiri vikundi katika ngazi halmashauri na ngazi ya kitaifa.
11.Jinsi mfumo
wa SACCOS unavyofanya kazi.
NB KITABU CHA MUONGOZO WA
ELIMU YA VICOBA NA SACCOS KINAPATIKANA
KIMEANDIKWA NA OMBENI HAULE
ELIMU NA USHAURI WASILIANA NASI KWA NAMBA
Popote mulipo tunawafikia
No comments:
Post a Comment