MISHUMAA:
Mishumaa hutumiwa na watu wengi hasa sehemu za vijijini ambako hakuna umeme ,utenenezaji wa mishumaha nirahisi na malighafizake hupatikana kwa urahisi apa tanzania ivyo unaweza ukalichukuwa wazo ili nakulifanya nakujiingizia kipato ,sikuzi biashara ndogo ndozinazolipa ukiwaza biashara kubwa utasubili sana ,,
Malighafi
1.
Parafin
wax kilo moja
2.
Baric
acid kijiko kimoja cha chai
3.
Stearic
vijiko nane vya chakula
4.
Umbo (mold)
5.
Utambi
mnene au mwembamba
6.
Rangi
kijiko kimoja cha chai
7.
Payfumu
kijiko kimoja cha chakula.
JINSI YA KUTENGENEZA.
Anza
kwa kuloweka tambi kwenye maji vikombe viwili na boric acid kwa masaa mawili
kasha anika hadi zikauke vizuri kabisa halafu yeyusha parafin wax na stearic
jikoni kisha andaa umbo la bati kwa kulitoboa tundu dogo chini ya umbo na
upande wa kushoto, kisha pitisha kijiti
kutoka upande mmoja hadi mwingine, tambi zikisha
kauka tumbukiza utambi kwenye umbo halafu funga ufundo upande wa chini
ili ukiweka uji wako usimwagike na uuvute
utambi ufunge juu kwenye kijiti ili kufanya uzio wako uwe umenyooka.
Kisha mwagia uji kwenye umbo uache hadi ukauke kabisa alafu ukate umbo la
chini, halafu uuvute mshumaa wako utatoka. Kukauka kwa mshumaa unategemea
ukubwa wa mshumaa uliotengenezwa. Unaweza kutengeneza mishumaa zaidi ya
ishirini kwa kubadilisha pafyumu ringi
na maumbo.
Kimeandikwa na ombeni haule
Elimu na ushauri wasiliana nasi kwa namba
0659 144 660/0758 069 046 /ombenihaule@gmail.com
kitabu cha bidhaa za viwandani kinapatikana
No comments:
Post a Comment