Malighafi zinazotumika
- Nyanya kilo 1.
- Vitunguu maji viwili.
- Vinegar vijiko 3 vya chai.
- Sukari vijiko 2 vya chai.
- Chumvi kijiko Kimoja cha chai
- Maji ya moto Kikombe Kimoja cha chai.
- Mafuta ya Kula vijiko 7 ya vyakula.
Haya Ndiyo mahitaji ya kutaka kutengeneza nyanya souce, Hata hivyo Kama Unataka kutengeneza Zaidi Ya Hapo unatakiwa kuongeza uwiano wa mahitaji Hayo.
JINSI YA KUTENGENEZA nyanya SOURCE.
HATUA YA KWANZA.
- a) Menya Nyanya Rangi vitunguu kisha vikate vipande vidogo vidogo.
- b) Tumia Brenda Kusaga mchanganyiko Wako.
- c) Anza kuweka malighafi namba 1 Hadi namba 4 katika brenda Yako kutokana Rangi uwiano (uwiano) uliopewa Hapo Juu. Saga to dakika Kadhaa Hadi Uone imetokea rojo Laini.
HATUA YA PILI.
- a) Tumia sufuria yenye Nafasi kupika Mseto Huu.
- b) Weka sufuria Yako jikoni tia mafuta ya Kula acha yachemke kisha mwagia Mseto Wako Rangi kisha uanze kukoroga to dakika 30 kuelekea Upande Mmoja huku ukichemka.
- c) Baada ya Hapo epua Mseto Huo utakuwa Tayari imeshakuwa nyanya funga Vizuri Rangi kisha Peleka Sokoni.
No comments:
Post a Comment