1.Mahindi WE4106
Aina hii ni mahindi chotara.
Inastawi katika ukanda wa chini na kati wa mita 0 hadi 1,500 kutoka usawa wa
Bahari.
·Inakomaa Kwa wastani wa siku 106.
·Ina ukinzani wa magonjwa ya milia yamahindi (maize streak), bakajani kijivu wa mahindi (grey leaf spot) na kutu yamajani (leaf rust).
·Inakoboleka vizuri (good poundability).
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 6.8 kwa hekta.
·Inastahimili ukame.kangetakilimo
Ø Mahindi WE4102
·Aina hii ni mahindi chotara.
·Inastawi katika ukanda wa chini na katiwa mita 0 hadi 1,500 kutoka usawa wa
bahari.
·Inakomaa kwa wastani wa siku 105.
·Ina ukinzani wa magonjwa ya milia yamahindi (maize streak), bakajani kijivu
wa mahindi (grey leaf spot) na kutu yamajani (leaf rust).
·Inakoboleka vizuri (good poundability).
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 6.7kwa hekta.
·Inastahimili ukame.kangetakilimo
Ø Mahindi WE4110
·Aina hii ni mahindi chotara.
·Inastawi katika ukanda wa chini na katiwa mita 0 hadi 1,500 kutoka usawa wa
bahari.
·Inakomaa kwa wastani wa siku 101 hadi 111.
·Ina ukinzani wa magonjwa ya milia yamahindi (maize streak), bakajani kijivu wa majani (grey leaf spot) na kutu ya majani (leaf rust).
·Inakoboleka vizuri (good poundability)kangetakilimo
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 6.6 kwa hekta.
·Inastahimili ukame.
Ø Mahindi WE4114
·Aina hii ni mahindi chotara.
·Inastawi katika ukanda wa chini na katiwa mita 0 hadi 1,500 kutoka usawa wa
bahari.
·Inakomaa kwa wastani wa siku 102.
·Ina ukinzani wa magonjwa ya milia yamahindi (maize streak), bakajani kijivu wa mahindi (grey leaf spot) na kutu ya majani (leaf rust).
·Inakoboleka vizuri (good poundability).
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 5.9 kwa hekta.
·Inastahimili ukame.
Ø Mahindi WE4115
·Aina hii ni mahindi chotara.
·Inastawi katika ukanda wa chini na kati wa mita 0 hadi 1,500 kutoka usawa wa
bahari.
·Inakomaa kwa wastani wa siku 104 hadi 112.
·Ina ukinzani wa magonjwa ya milia ya mahindi (maize streak), bakajani kijivu wa mahindi (grey leaf spot) na kutu ya majani (leaf rust).
·Inakoboleka vizuri (good poundability).
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 6.4,kwa hekta.
·Inastahimili ukame.
Ø Mahindi WE4112
·Aina hii ni mahindi chotara.
·Inastawi katika ukanda wa chini na kati wa mita 0 hadi 1,500 kutoka usawa wa
bahari.
·Inakomaa kwa wastani wa siku 103.
·Ina ukinzani wa magonjwa ya milia ya mahindi (maize streak), Ukungu kijivu
wa mahindi (grey Leaf spot) na kutu ya majani (leaf rust).
·Inakoboleka vizuri (good poundability)
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 6.5 kwa hekta.
·Inastahimili ukame.
2. Kituo cha Utafiti Selian
Ø Mahindi Selian H215
·Aina hii ni mahindi chotara.
·Inastawi katika mwinuko wa mita 800 hadi 1,200 kutoka usawa wa bahari.
·Inakomaa kati ya siku 105 hadi 148.
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 5 kwa hekta.
·Inastahimili ugonjwa wa bakajani kijivu wa mahindi (grey leaf spot) hususan
katika maeneo ya kanda ya kaskazini
3. Kituo cha Utafiti Tumbi
Ø Mahindi T104
·Aina hii ni mahindi ya kawaida (OPV)
·Inastawi katika ukanda wa kati katika mwinuko wa mita 600 hadi 1,500.
·Inakomaa kwa wastani wa siku 104 hadi 128.
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 4.5 kwa hekta.
Ø Mahindi T105
·Aina hii ni mahindi ya kawaida (OPV)
·Inastawi katika ukanda wa kati katika mwinuko wa mita 600 hadi 1500.
·Inakomaa kwa wastani wa siku 103 hadi 129.
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 5.4 kwa hekta.
4. Aminata Quality Seeds & Consultancy Ltd
Ø Mahindi NATA H401
·Aina hii ni mahindi chotara.
·Inastawi katika ukanda wa chini na kati katika mwinuko wa mita 400 hadi 1,500.
·Inakomaa kwa wastani wa siku 120 hadi 130.
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 7 kwa hekta.
·Inastahimili ugonjwa wa bakajani kijivu wa mahindi (grey leaf spot), baka jani (leaf blight) na kutu ya majani (leaf rust).
·Inakoboleka vizuri (good poundability).
Ø Mahindi NATA K 8
·Aina hii ni mahindi ya kawaida (OPV).
·Inastawi katika ukanda wa chini na kati katika mwinuko wa mita 0 hadi 1,600.
·Inakomaa kwa wastani wa siku 110 hadi 120.
·Inastahimili magonjwa ya bakajani wa mahindi (grey leaf spot), milia ( maize
streak virus) na ‘Turcicum blight’.
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 4.9 kwa hekta.
5. Krishna Seed Company Ltd
Ø Mahindi Krishna Hybrid-1
·Aina hii ni mahindi chotara.
·Inastawi katika mwinuko wa mita 600 hadi 1,200 kutoka usawa wa bahari.
·Inakomaa kwa muda wa siku 128.
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 6.9 kwa hekta.
·Inastahimili magonjwa ya majani wa ukungu kijivu wa mahindi (grey leafspot) milia ya mahindi (maize streak virus).
Ø Mahindi Krishna Hybrid-2
·Aina hii ni mahindi chotara.
·Inastawi katika mwinuko wa mita 600 hadi 1,200 kutoka usawa wa bahari.
·Inakomaa kwa muda wa siku 134.
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 7.6 kwa hekta.
·Inastahimili magonjwa ya ukungu kijivu wa mahindi (grey leaf spot) na milia ya mahindi (maize streak virus).
6. Meru Agro-Tours & Consultancy Co. Ltd
Ø Mahindi MERU LISHE 503
·Aina hii ni mahindi ya kawaida (OPV).
·Aina ya mahindi lishe yaliyo na kiwango kikubwa cha viini muhimu vya protini.
·Hustawi katika mwinuko wa mita 800-1,200 kutoka usawa wa bahari.
·Inakomaa mapema kwa wastani wa siku99.
·Ina stahimili magonjwa ya bakajani kijivu wa mahindi(grey leaf spot)na milia ya mahindi ( maize streak virus).
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 4.3kwa hekta.
·Inakoboleka kirahisi.
Ø Mahindi LISHE 511
·Aina hii ni mahindi ya kawaida (OPV).
·Aina ya mahindi lishe yaliyo na kiwango kikubwa cha viini muhimu vya protini.
·Hustawi katika mwinuko wa mita 800-1,200 kutoka usawa wa bahari.
·Inakomaa kwa muda wa wastani wa siku 98.
· Ina ukinzani wa magonjwa ya bakajani kijivu wa mahindi (grey leaf spot) na
milia ya mahindi ( maize streak virus).
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 5.2 kwa hekta.
·Inakoboleka kirahisi.
6. IFFA Seed Company Ltd
Ø Mahindi Kaspidi hybrid
·Aina hii ni mahindi chotara.
·Hustawi katika mwinuko wa mita 600 hadi 1,200 kutoka usawa wa bahari.
·Inakomaa kwa muda wa siku 150 hadi siku 155.
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 6.1 kwa hekta.
·Inastahimili magonjwa wa bakajani kijivu wa mahindi (grey leaf spot) na milia ya mahindi (maize streak virus).
Ø Mahindi Kisongo hybrid
·Aina hii ni mahindi chotara.
·Hustawi katika ukanda wa mwinuko wa mita 600 had 1,200 kutoka usawa wa
bahari.
·Inakomaa katika siku 138.
·Inatoa mavuno ya wastani wa tani 6.8 kwa hekta.
·Inastahimili magonjwa ya bakajani kijivu wa mahindi (grey leaf spot) na milia ya mahindi (maize streak virus).
Ushauri wa matumizi ya mbegu zilizoboreshwa unatofautiana kutoka eneo moja na lingine kwa sababu ya
v Mwinuko kutoka usawa wa bahari
v Kiasi cha mvua katika eneo husika
v Muda unaotumia mbegu
v hadi kukomaa
No comments:
Post a Comment