Malighafi
>Beseni au chocho kipana
>kijiko
>Mkamusi (upawa)
*Mahitaji*
1.Karanga kg 1
2.Sukari robo
3.Mayai 3
4.Mafuta ya kupikia
5.Chumvi 1 kijiko cha chakula.
*Jinsi ya kutengeneza*
*Hatua 01*
Andaa sufuria yako kavu, chukua sukari yako robo kilo weka kwenye sufuruia.
*Hatua 02*
Chukua chumvi vijiko 1 vya chakula changanya kwenye sufurua wenye sukari.
Vunja mayai yako 3 na kisha changanya mchanganyiko wako hadi uwe kama uji.
*Hatua 04*
Chukua karanga zako changanya pamoja na mkorogo wako hadi mchanganyiko uchanganyikane pamoja
zianike juani kwa mda wa saa1 ... hili ziauke na mayai yashikane vizuri na ngano
*Hatua 05*
Bandika mafuta yako acha ya chemke
Chukua karanga zako weka kwenye mafuta koroga zisishikamane.
Ipua karanga zako ukiona zimebadika rangi.
Ziache mahali pasafi zipoe na kuchuja mafuta.
Na mwisho karanga zako zitakuwa za kupakiwa NA KWENDA sokoni.
No comments:
Post a Comment