TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO KWA ELIMU NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI NA STADI BORA ZA BIASHARA KWA NADHARIA NA VITENDO
September 21, 2017
September 12, 2017
Tunawafikia popote mulipo kwa elimu ya uhamasishaji,kuwaunganisha, uanzishaji na uboreshaji wa vikundi vya maendeleo na vicoba pia tunatoa elimu ya ujasiriamali na stadi za biashara ,stadi za maisha ,utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani, mapishi mbalimbali, ufugaji bora na rahisi, kilimo bora na rahisi cha mboga na matunda (bustani), fursa za biashara tanzania,,,,, JIFUNZE JIAJIRI UMASKINI HAUKUBALIKI
Subscribe to:
Comments (Atom)
-
ELIMU YA UJASIRIAMALI BIASHARA .Ujasiriamali katika sekta ya biashara (Entrepreneurship) a) Ujasiriamali ni uwezo wa k...
-
MAHITAJI 1. Unga wa dengu ½ kilo 2. Binzari nyembamba ½ kijiko cha mezani 3. Unga wa pilipili manga kijiko 1 cha chai 4. Unga wa...
-
*MAGONJWA HATARI 10 YANAYOTIBIKA KWA KUTUMIA MBEGU ZA MABOGA* *UTANGULIZI* - Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya muhimu ...











