February 11, 2018

JIFUNZE UJASIRIAMALI KWA MAENDELEO YA BADAE

 ENTRE-BUSINESS SOLUTION CO LTD
TUNAWAFIKIA KWA: Elimu ya ujasiriamali na stadi bora za biashara, Fursa mbalimbali za biashara Tanzania, Uhamasishaji, uundaji na uboreshaji wa vikundi vya maendeleo na Simu; 0659 144 660 / 0758 069 046 / imfo.ebusol@gmail.com / ebusol.blogspot.com
Ilala DCC Karume Dar es salaam

1. ELIMU YA UJASIRIAMALI NA STADI BORA ZA BIASHARA
Ujasiriamali ni kuanza na kuendesha na kumiliki biashara inayojitegemea.

2.  Mjasiriamali ni nani?
Mtu yeyote anayeamua kuchukua uamuzi hatarishi kwa kuwekeza mtaji katika kuanzisha mradi ili kuingiza kipato na kupata faida.

3.  Sifa za mjasiriamali
Mjasiriamali ana sifa kuu tatu:-
1.     Ni mwenye ufahamu.
2.     Ni mwenye stadi.
3.     Ni mwenye tabia za kijasiriamali.

(i)  Ni mwenye ufahamu
Mjasiriamali lazima awe na ufahamu wa mambo yote yanayohusu kuanzisha na kuendesha miradi ya kuongeza kipato/biashara. Ufahamu wa kujua nini maana ya biashara, kujua kutathmini wazo la mradi, kutengeneza mchanganuo wa mradi na 
habari zote za masoko.

(ii)  Ni mwenye stadi
Mjasiriamali lazima awe na ujuzi wa mradi anaoamua kuanzisha.

(iii)  Ni mwenye tabia za kiujasiriamali
 Ujasiriamali si tu kufanya biashara bali ni ile tabia unayoweza kuionyesha kwenye biashara yako. Mjasiriamali ana tabia zifuatazo:-

 (a)  Ni mbunifu (Innovative)
 M jasiriamali ni mbunifu katika biashara kwa kuweka kitu kipya, mambo mapya, taratibu mpya, mipango mipya, kuweka huduma tofauti na wenzake wenye biashara ileile.

 (b)  Ni mwenye kuthubutu (Risk-taking)
 Kuthubutu kwa mjasiriamali kuna kuja kwa njia nyingi kama vile:
            1.Kufanya uamuzi wa kuwekeza.
            2.Kufanya uamuzi wa kuanzisha mradi au kufanya Biashara.
 M jasiriamali huwa hajutii uamuzi na ushauri alioufanyia kazi pale anapoanguka kibiashara au kupata hasara, hukaa chini na kutafakari na kurekebisha makosa na kuendelea na biashara.

 (c)  Ni mwepesi wa kuona fursa (Opportunistic).
 M jasiriamali ni mwepesi wa kuona fursa na kuitumia, anazitafuta fursa, anaziendeleza, na anapata maendeleo.

 (d) Ni mwenye kuwa na malengo [achievement oriented]
 M jasiriamali huweka malengo ya shughuli anazozifanya, huwa haridhiki, anajitahidi kupanua kila wakati biashara yake, anaiendeleza na kuikuza na baadaye malengo yake yanakuwa makubwa.Wafanyabiashara walioridhika siyo wajasiriamali.

 (e)  Ni mwenye bidii (Hard working).
 M jasiriamali ni mwenye bidii ya kufanya kazi na hakati tamaa kirahisi.

 (f)  Anayejitegemea (Independent).
 N i mwenye kushughulikia matatizo yake kwanza mwenyewe, anatafuta ni jinsi gani ya kujikwamua mwenyewe, anafikiria kwanza mwenyewe kabla ya kutafuta msaada.

 (g)  Ni mwenye kujenga uhusiano (Networking).
 M jasiriamali anajitahidi kufahamiana na watu wengine wengi, anapojenga uhusiano na watu mbalimbali inamsaidia kuondoa matatizo mengi ya kibiashara.

 (h) Ni mwenye kuona mbali (Future oriented).
 M jasiriamali anaangalia mbali katika biashara. Hata akifa biashara yake inaendelea kuwepo.

 (i)  Ni mwenye kutunza kumbukumbu.
 M jasiriamali ni mtunzaji wa kumbukumbu zinazomsaidia kukumbuka, kuona kama anapata faida au hasara na inamsaidia kujua mambo muhimu yanayohusu biashara zake kwa ajili ya maboresho.

4. Changamoto zinazowakabili wajasiriamali

(i)  Miradi mingi ya kuongeza kipato inayoendeshwa haina sifa ya kujiendesha kwa faida.

(ii)  Wajasiriamali wengi hufanya biashara zao kwa kubahatisha bila kujua wanatarajia nini na kwa kipindi gani.

(iii)  Wajasiriamali wengi hawawezi kukopesheka kwa sababu hawana cha kumshawishi mtoa mkopo ili aone kama fedha yake itarudi kwa kukosa mpango biashara.

(iv)  Wajasiriamali wengi wameshindwa kujua gharama halisi za biashara yao kwa kukosa mpango wa biashara.

(v)  Wajasiriamali wengi hawajui washindani wao na mbinu za washindani wao, hivyo kushindwa kuweka mkakati wa kukabiliana na washindani.

(vi)  B iashara nyingi hukwama kufikia matarajio ya mjasiriamali kwa kukosa kuzifahamu shughuli za masoko kwa undani.

(vii)  U pangaji wa bei unachangia kuua biashara nyingi ndogondogo kwa sababu kazi nyingi wanazozifanya wajasiriamali wanadhani hazina gharama kwa kuwa wanatekeleza wao. Na hivyo huendelea kupunguza uwezo wa biashara kidogo na hatiamaye hufa.

(viii)   Wajasiriamali wengi wasiokuwa na stadi za ujasiriamali na stadi za biashara huwa wanakimbilia sana kwa waganga wa kienyeji wakati biashara zao zinayumba bila kufanya tathimini ya kina.

(ix)   Biashara nyingi zinazoendeshwa na wajasiriamali wadogo zinakabiliwa na tatizo kubwa la kutokutunza kumbukumbu kwa usahihi kwa kutokujua umuhimu na faida zake. Biashara za namna hii mara nyingi haziwezi kujibu maswali kama vile kipindi hiki faida katika biashara ni shilingi ngapi. Ni marekebisho gani yanatakiwa kufanyika katika biashara ili kuongeza ufanisi na tija, mjasiriamali amejipangia mshahara kiasi gani, kiasi gani kimetumika kutoka kwenye biashara kwa matumizi binafsi.

By Ombeni haule

February 05, 2018

kutuhusu EBUSO

Ni taasisi binafsi iliyosajiriwa kisheria kwa lengo la kuifikia jamii hisiyofikiwa mjini na vijijini kuhamasisha, kuwaunganisha na kuwajengea uwezo kwa kutoa elimu ya;
1.     Ujasiriamali na stadi za biashara
2.     Wazo bora la biashara
3.     Mchanganuo wa biashara
4.     Stadi za maisha
5.     Utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani
6.     Mapishi mbalimbali
7.     Kilimo bora na rahisi cha mbogamboga na matunda
8.     Utayarishaji, usindikaji na ufungashaji wa mboga na matunda. (food processing)
9.     Ufugaji bora na rahisi wa mifugo.
10. Uhamasishaji, uundaji na uboreshaji wa vikundi vya maendeleo na VICOBA
11. Fursa 1000 za biashara Tanzania.

A.UJASIRIAMALI NA STADI ZA BIASHARA.
(a) Ujasiriamali ni nini.
(b) Mjasiriamari ni nani.
(c) Aina za wajasiriamali.
(e) Faida zakuwa mjasiriamali.
(f) Changa moto zinazomkabili mjasiriamali.
(g) Namna ya kukabiliana na changamoto hizo.
(h) Kuibuka kwa mjasiriamali.
(i) Ujasiriamali ndani ta ajira.

MIRADI YA UZALISHAJI.
(a)Maana ya miradiradi

(b) Sifa za mradi
(c) Kutathiminiwazo la mradi
(e) Aina za miradi.
(f) Mradi wa biashara.
(g) Mambo muhimu ya kuzingatia unapoingia katika biashara.
(h) Mambo muhimu ya kuepuka katika biashara.
(i) Jinsi ya kufanikiwa katika biashara.
(j) Mfano wa wafanya biashara waliofanikiwa.

b) Mpango biashara
(Business plan)
(a)  Maana ya mpango biashara
(b) Faida za mpango biashara
(c)  Taarifa binafsi za mfanyabiashara
(d) Maelezo kuhusu aina ya biashara itakayofanyika (huduma au uzalishaji mali)
(e)  Soko linalokusudiwa
(f)   Taarifa kuhusu washindani
(g)  Mkakati wa kuwezesha biasharahiyo ifanikiwe
(h) Mahitaji ya fedha (makadirio ya mauzo na gharama)
(i)    Ratiba ya kazi na idadi ya watumishi.
(j)   Aina 200 za biashara/miradi inayofanywa na Watanzania.

B; UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI
(a)  Namna ya kutumia kemikali husika na kuchanganya madawa
(b) Vifaa na mashine za kutengeneza bidhaa za viwandani
(c)  Utengenezaji wa sabuni za maji
(d) Sabuni mche
(e)  Sabuni za unga
(f)   Sabuni ya kunawia mikono
(g)  Sabuni ya kuoshea marumaru
(h) Kutengeneza lotion
(i)    Kutengeneza mafuta ya mgando
(j)   Utengenezaji wa batiki aina zote
(k) Kuprint T-shirt
(l)    Utengenezaji wa mishumaa
(m)                       Utengenezaji wa maji ya betri
(n) Utengenezaji wa vikapu na kikoba ya asili
(o)  Sabuni ya kipande ya majivu
(p) Sabuni ya kipande ya liwa
(q) Sabuni ya kipande ya kuogea
(r)   Sabuni ya kuondoa madoa
(s)   Chaki.
(t)   Mkaa wa makaratasi na makapi ya nafaka
(u) Majiko sanifu.

C: MAPISHI NA UPAMBAJI WA KUMBI (DECORATION)
(a)  Aina za mapishi
(b) Aina mbalimbali keki
(c)  Aina mbalimbali za bites
(d) Aina za vifungua kinywa
(e)  Aina za mboga
(f)   Chilly na tomato sauce
(g)  Juisi mbalimbali
(h) Biscuti mbalimbali
(i)    Wine za matunda
(j)   Aina za viungo.
(k) Aina za supu,
(l)    Aina za lunch,
(m)                       Aina za dinner

D.KILIMO BORA NA RAHISI CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA
1.  Fulsa za kilimo na mboga natunda
2.  Changamoto na mafanikio ya kilimo cha mboga na matunda
3.  Hali ya hewa husika (mvua,udongo,joto kuwezesha kustawi kwa zao husika
4.  Vifaa vya bustani
5.  Namna ya kuandaa kitalu cha miche ya mboga na matunda
6. Aina ya vitalu vya mboga
7. Aina ya vitalu vya matunda
8.  Umwagiliajki wa vitalu
9.  Aina zmbegu (OPU,Hybrid FI) na kiasi cha mbegu (gm/kg) cha kutosha eneo la eka 1
10. Namna ya upandaji na umwagiliaji wa vitalu, miche na mbegu shambani.
11. Kuweka kivuli na matandazo
12 .Aina za mbolea naukaji wa mbolea
13. Wadudu waharibifu,manonjwa kwa njia ya picha dalili na namna ya kudhibiti wadudu na magonjwa.
14. Vipimo vya dozi za wadudu,booster,mbolea na dawa za magonjwa.
15. Kubadilisha mazao shambani
16. Utumiaji wa mboga baada ya kuweka dawa
17. Muda wa kupanda mpaka kuvuna

MAZAO MBALIMBALI
1)     kilimo bora na rahisi cha Nyanya
2)     Kilimo borana rahisi cha vitunguu
3)     Kilimo bora na rahisi cha matango
4)     Kilimo bora na rahisi cha pilipili hoho
5)     Kilimo bora na rahisi cha pilipili kali
6)     Kilimo bora na rahisi cha Nyanya chungu
7)     Kilimo bora na rahisi cha Maboga
8)     Kilimo bora na rahisi cha Chainizi
9)     Kilimo bora na rahisi cha Mchicha
10)Kilimo bora na rahisi cha Karoti
11)Kilimo bora na rahisi cha Bilinganya
12)Kilimo bora na rahisi cha Bamia
13)kilimo bora na rahisi cha Magimbi
14)Kilimo bora na rahisi cha Uyoga
15)Kilimo bora na rahisi cha Embe
16)Kilimo bora na rahisi cha Papai
17)Kilimo bora na rahisi cha Migomba (ndizi)
18)Kilimo bora na rahisi cha Nanasi
19)Kilimo bora na rahisi cha Tikiti
20)Kilimo bora na rahisi cha Tangawizi
21)Kilimo bora na rahisi cha vitunguu  Saumu

E.UTAYARISHAJI, USINDIKAJI NA UFUNGASHAJI WA MBOGA NA MATUNDA
1. Changamoto za usindikaji na namna ya kuzikabili.
2. Uhifadhi na uandaaji wa matunda ili kuyasindika.
3. Kusindika kupata juisi .
4. Kusindika kupata wine.
5. Kusindika kupata jam.
6. Kusindika kupata achali.
7. Kukausha kupata kaukau kwakutumia(drayer).
8. kusindika kupata kavu kwakutumia(drayer).
9. Kusindika kupata unga.
10. Kufungasha,
11. kuweka lakili.
12. kuweka lebo.

F.UFUGAJI BIORA NA RAHISI WA MIFUGO
1.                 Changamoto za ufugaji na namna ya kukabiliana nazo.
2.                 Ujenzi wa banda/nyumba bora ya kufugia
3.                 Vifaa vinavyotumika wakati wea ujenzi wa banda/nyumba ya mifugo.
4.                 Ukubwa wa banda/nyumba.
5.                 Vifaa na vyombo muhimu kwa ajili ya mifugo.
6.                 Kuchagua aina ya mfugo bora wa kufuga.
7.                 Aina za mifugo na kabila zao.
8.                 Utengenezaji wa chakula cha mifugo.
9.                 Uchaguzi wa dume/jogoo bora la mbegu.
10. Namna ya uzalishaji na utotoleshaji.
11. Utunzaji wa mifugo klwa makundi maalumu.
12. Namna ya kudhibiti magonjwa na tiba za mifugo
13. Uzalishaji na masoko ya mifugo.
14. Utunzaji wa kumbukumbu.

Vitabu vya mifugo vinapatikana
1. Ufugaji bora wa kuku
2. Ufugaji bora wa n g`ombe
3. Ufugaji bora wa nguruwe
4. Ufugaji bora wa nyuki
5. Ufugaji bora wa mbuzi na kondoo
6. Ufugaji bora wa kwale
7. Ufugaji bora wa sungura
8. Kitabu cha magonjwa ya mifugo dalili,tiba na kinga

G.ELIMU YA UHAMASISHAJI, UANZISHAJI NA UBORESHAJI WA VIKUNDI VYA MAENDELEO NA VICOBA (village community banks)
1)     
a.     Historia ya vicoba
b.     Madhumuni ya kuanzishwa mfumo wa vicoba
c.      Wadau wanaotelekeza mfumo wa vicoba Tanzania.
d.     Mfumo sahihi wa vicoba
e.      Tofauti kati ya vicoba na saccos.

f.       Kuanzisha na kukua kwa vikundi vya vicoba.
g.     Aina za mikutano ya vicoba na kazi zake.
h.    Mbinu za kufundishia vicoba (mwezeshaji)
2)     Nini maana ya vicoba
3)     Jinsi mfumo wa vicoba unavyofanya kazi.
4)     Taratibu za uwekezaji wa fedha.
5)     Taratibu za mikopo na Ulejeshaji.
a.     Awamu za kikundi kupitia.
b.     Namna ya kuendesha mikutano.
c.      Uendeshaji wa shughuli za kibenki.
d.     Uongozi wa kikundi.
e.      Sheria za kikundi
f.       Utunzaji wa kumbukumbu.
g.     Fomu za mwezeshaji (mratibu) kuchukua taharifa za maendeleo ya kikundi.
h.    Hatua za kusajiri vikundi katika ngazi halmashauri na ngazi ya kitaifa.

VITABU VYA MASOMO YOTE VINAPATIKANA SOFT NA HARD COPY KWA BEI POA TU
0659 144 660 0758 068 9046 /ombenihaule@gmail.com

Entre-business solution co ltd