Mkufunzi: Ombeni D. Haule
1.Jifunze jinsi walivyofikiri,
2.Walivyofanya kazi,
3.Walivyovumilia na walivyotatua changamoto.
4.Jifunze nidhamu yao.
5.Jifunze namna wanavyotumia muda.
6.Jifunze jinsi wanavyopanga biashara na fedha.
7.Jifunze kutokana na makosa yao.
8.Jifunze kuanza kidogo na kukua hatua kwa hatua.
9.Tafuta watu wenye uzoefu na waulize maswali.
10.Usiige maisha yao; jenga njia yako mwenyewe.
11.Mafanikio ya mwingine yawe somo kwako, si sababu ya kujilinganisha naye.
MAMBO MUHIMU YAKUJIFUNZA KWA WALIOFANIKIWA:
1.Weka malengo yaliyo wazi.
2.Anza na kile ulicho nacho.
3.Fanya kazi kwa bidii na nidhamu.
4.Jifunze kila siku na ongeza ujuzi.
5.Kubali kufanya makosa na kujifunza kutokana nayo.
6.Tumia muda vizuri.
7.Tafuta watu wenye uzoefu wakushauri.
8.Usikate tamaa unapokutana na changamoto.
9.Anza kidogo, kisha panua hatua kwa hatua.
10.Usiige maisha yao; iga kanuni na juhudi zilizowasaidia kufanikiwa.

Maoni
Chapisha Maoni