Jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche
Malighafi 1. Caustic soda vijiko 27 vya chakula 2. Maji chupa 239 soda 3. Mafuta lita 2 ( mafuta ya nazi,mawese,nyonyo au mbosa) 4. Sodium cilcate 1/ 2 kg 5. Rangi ya sabuni kijiko 1 cha chai 6. Industrial salt vijiko 3 vya chakula 7. Harufu kijiko 1 cha chai 8. Hydrogen peroxide vijiko 4 vya chakula (kwa ajiri ya kuondoa rangi ya mafutu. Hatua 1. loweka caustic kwenye maji kisha korog a kwa dk 5 na uache kwa kati ya siku 1 hadi 7 2. siku ya kutengeneza sabuni injika mafuta jikoni na yakichemka tia hydrogen kidogokidogo huku ukiyaangalia mafuta yako kwa kutumia karatasi nyeupe kama rangi imetoka yote. 3. Baada ya hapo chukua maji ya caustiki soda,tia sodium,chumvi,kama unapenda rangi weka na kama unapenda harufu weka huku nukikoroga kwa nguvu na kwa spidi hadi dk 5. 4. Andaa ndoo ya plastiki na utie mafuta uliyoyaandaa na hakikisha yamepoa.anza kuyakoroga kuelekea upande mmoja huku ukimimina ...
Comments
Post a Comment