Njoo ujifunze kilimo bora na rahisi cha chainezee ujipatie kipato,pi utajifunza kusindika zao ili kupata mboga kavu.
Elimu ya uanzishaji wa vikundi vya maendeleo na VICOBA
Katika blog hii utajifunza kilimo cha muda mfupi mfano kilimo cha embe hupandwa na kuvunwa kwa miaka miwili tu ,karibuni.



No comments:
Post a Comment